Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Serikali Kuajiri Maafisa Ugani 1,487

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiingia bungeni tayari kuongoza Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Wabunge wakiwa wamesimama wakati wa dua ya kuiombea nchi na bunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Frank Mvungi- Maelezo, Dodoma
Serikali imepanga kuajiri maafisa Ugani 1,487 katika mwaka wa Fedha 2017/2018 ili kuziba pengo la upungufu wa wataalamu hao kote nchini na kuongeza tija katika uzalishaji kwenye sekta ya Kilimo.
Akijibu swali la mbunge wa Nanyamba Mhe. Abdalla Chikota wakati wa Kipindi cha maswali  na majibu  Bungeni, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. George  Mkuchika amesema kuwa kati ya mwaka 2013/2014 hadi 2016/2017 jumla ya Maafisa Ugani 5,710 waliajiriwa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Capt(Mst) George Mkuchika akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa Tisa wa kikao cha nne cha Bunge hilo leo Mkoani Dodoma.

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Jumaa Aweso akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

“Serikali imekuwa ikitoa vibali vya ajira za Maafisa Ugani katika Mamlaka za Serikali ya Mitaa kila mwaka wa fedha kutegemea uwezo wa bajeti” Alisisitiza Mkuchika.
Akisisitiza  Mhe.  Mkuchika amesema kuwa Serikali inatambua upungufu wa Maafisa Ugani hasa katika Halmashauri mpya  na Miji na itahakikisha inawapeleka Maafisa hao ili kuleta uwiano kati ya Halmashuri Kongwe na zile mpya.

Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angeline Mabula akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Hamisi Kigwangalla akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Aliongeza kuwa Wizara yake itashirikiana na Wizara ya Kilimo kuhakikisha kuwa udahili katika vyuo vya Ugani unaongezeka ili idadi ya wataalamu hao iongezeka kulingana na mahitaji.
Katika Kukuza na kuongeza tija Katika Sekta ya Kilimo  Serikali imeweka mkazo katika kuongeza ujuzi na maarifa ya Wataalam wa Kilimo ili kuendana na dhana ya ujenzi wa uchumi wa Viwanda.

Naibu Waziri wa Wizara ya Madini Mhe.Stanslaus Nyongo akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali za wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati Mhe.Subira Mgalu akitoa maelezo ya maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mhe.Dk.Mary Mwanjelwa akijibu hoja mbalimbali ya wabunge wakati wa Mkutano wa tisa wa kikao cha nne cha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.

5 thoughts on “Serikali Kuajiri Maafisa Ugani 1,487

 • October 26, 2020 at 9:39 pm
  Permalink

  I’m afraid that number’s ex-directory what is azelastine hydrochloride ophthalmic solution used for This spring, 15 teams of students from U.S. and Canadianuniversities gathered in a large workshop next to a desert Armybase in Yuma, Arizona, as part of the EcoCar 2 engineeringcompetition. The event, sponsored by GM and the U.S. Departmentof Energy, calls on contestants to modify a Chevrolet Malibusedan to make it more fuel-efficient.

  Reply
 • October 27, 2020 at 12:58 am
  Permalink

  We’d like to offer you the job mirapex for sale The company found such success with Marvel superhero films “The Avengers” and “Iron Man 3,” and with Pixar’s “Monsters University,” but wrote down $200 million when sci-fi epic “John Carter” flopped last year.

  Reply
 • October 27, 2020 at 9:59 am
  Permalink

  No, I’m not particularly sporty sildenafil zentiva 25 mg But prosecutors said Garza orchestrated the gang’s plan to silence the women, who Garza thought had witnessed another gang crime, and was present when several gang members opened fire on the women when they arrived at their trailer park home after work at a bar.

  Reply
 • October 27, 2020 at 11:23 am
  Permalink

  I sing in a choir esomeprazole actavis spc “This generation of filmmakers has seen most of its movieson small screens – there’s less screen-sized prejudice – which Ithink is opening up a lot of choice and business models,” saidTed Sarandos, chief content officer for Netflix.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama