Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Bungeni Leo Aprili 13, 2018

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akizungumza Bungeni mapema leo wakati wa Kipindi cha mswali na majibu .

Naibu Waziri wa Wizara ya Mali Asili na Utalii Mhe. Japhet Hasunga akieleza hatua zinazochukuliwa na Serikali kwa wananchi pale wanapovamiwa na wanyama kutoka katika Hifadhi za Taifa na kusababisha uharibifu.

Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Subira Mgalu akisisitiza kuhusu mikakati ya Serikali kufikisha huduma ya umeme katika vijiji vyote hapa nchini mapema leo Bungeni mjini Dodoma wakati wa Kipindi cha maswali na majibu.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiteta jambo na mbunge wa Siha Dkt. Goodluck Mollel mapema leo Bungeni mjini Dodoma.

Sehemu ya wabunge na wageni waliofika Bungeni wakifuatilia Kikao cha Bunge wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo mjini Dodoma. (Picha zote na Frank Mvungi, MAELEZO Dodoma)

116 thoughts on “Matukio Katika Picha Bungeni Leo Aprili 13, 2018

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama