Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio katika Picha Bungeni Leo

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha ishirini  cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakijadili jambo wakati wa  kikao cha ishirini  cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angeline Mabula akiteta jambo na Mbunge wa Mikumi Mhe.Joseph Haule  wakati wa  kikao cha ishirini  cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia  Mhe.Prof Joyce Ndalichako wakati wa  kikao cha ishirini  cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt Ashatu Kijaji akimsikiliza Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stanslaus Nyongo wakati wa  kikao cha ishirini  cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

Mbunge wa Singida Mjini Mhe.Mussa Sima akiuliza swali wakati wa  kikao cha ishirini  cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

176 thoughts on “Matukio katika Picha Bungeni Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama