Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio katika Picha Bungeni

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akisoma dua ya kuliombea Bunge wakati wa kikao cha thelathini na sita cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt.Philip Mpango wakati wa kikao cha thelathini na sita cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

Naibu Waziri-TAMISEMI Mhe.Joseph Kakunda akitolea ufafanuzi swala la mapato ya halmashauri kwa ajili ya kinamama na vijana wakati wa kikao cha thelathini na sita cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

Wageni mbalimbali  wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu wakati wa kikao cha thelathini na sita cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akiteta jambo na Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani wakati wa kikao cha thelathini na sita cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.

242 thoughts on “Matukio katika Picha Bungeni

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama