Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio katika picha Bungeni

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha thelathini na mbili cha mkutano wa kumi na moja leo  Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akiongoza kikao cha thelathini na mbili cha mkutano wa kumi na moja leo  Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Mhe.Mhandishi Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha thelathini na mbili cha mkutano wa kumi na moja leo  Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati wa kikao cha thelathini na mbili cha mkutano wa kumi na moja leo  Jijini Dodoma.

Mbunge wa Nzega Mjini Mhe.Hussein Bashe akichangia mjadala wa bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi wakati wa kikao cha thelathini na mbili cha mkutano wa kumi na moja leo  Jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama