Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio katika picha Bungeni

Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Najma Giga akiongoza kikao cha ishirini na nane cha mkutano wa 11 leo Jijini Dodoma.

Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo  Dkt.Florens Turuka  na Naibu Katibu Mkuu Bi.Immaculate Ngwale pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Jenerali Venance Mabeyo wakati wa kikao cha ishirini na nane cha mkutano wa 11 leo Jijini Dodoma.

Viongozi wa Timu ya Simba  wakifuatilia shughuli mbalimbali za Bunge leo Jijini Dodoma kwa mualiko maalumu wa Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai.

Wachezaji wa Timu ya Simba ambao pia ni mabingwa wa ligi kuu Bara kwa  mwaka 2017/18 wakifuatilia shughuli mbalimbali za Bunge leo Jijini Dodoma kwa mualiko maalumu wa Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Ndugai.

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019.

Majenerali wastaafu wa Jeshi la Wananchi watanzania(JWTZ)  wakifuatilia kipindi cha maswali  na majibu leo Bungeni Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe.January Makamba akitolea ufafanuzi hoja mbalimbali za wabunge kuhusu changamoto za Muungano wakati wa kikao cha ishirini na nane cha mkutano wa 11 leo Jijini Dodoma.

71 thoughts on “Matukio katika picha Bungeni

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama