Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Bunge Leo

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage akiwasilisha taarifa ya hali ya Sukari nchini wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.

Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi, Dkt. Agustine Mahiga (kulia) wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi Ajira na Vijana, Anthony Mavunde akijibu swali kwa niaba ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.

: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akijibu swali wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Sheria Mtemi Andrew Chenge akiwasilisha Hoja ya Kamati kuhusu maboresho ya sheria mbalimbalimbali wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.

Mbunge wa Kuteuliwa Mhe. Salma Kikwete akiuliza swali la nyongeza wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Kamishna Diwani Athmani akitambulishwa wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenyeulemavu, Jenista Mhagama akiteta jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi pamoja na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo wakati wa mkutano wa 12 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kikao cha nane leo Jijini Dodoma.(Picha na Idara ya Habari – MAELEZO

90 thoughts on “Matukio Katika Picha Bunge Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama