Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Bungeni Leo

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjela Kairuki akisisitiza kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kunusuru Kaya masikini hapa nchini.

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi akitoa ufafanuzi Bungeni kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuimarisha huduma za Afya katika vituo na Hosipitali zinazomilikiwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhe. Tate Ole Nasha akieleza mikakati ya Serikali kukuza Sekta ya Kilimo hapa nchini kwa kuhakikisha kuwa wakulima wanapata pembejeo za Kilimo na mbolea kwa wakati.

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge ajibu maswali ya wabunge leo Bungeni mjini Dodoma kuhusu hali ya upatikanaji wa maji hapa nchini na mikakati ya Serikali kuboresha kilimo cha umwagiliaji.

Mbunge wa Sumve Mhe. Richard Ndasa akizungumza Bungeni mjini Dodoma mapema leo.

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffo akisisitiza jambo Bungeni mjini Dodoma mapema leo.(Picha zote na Frank Mvungi- Dodoma)

121 thoughts on “Matukio Bungeni Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama