Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Bungeni Leo

 

Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (Mb) akiwasilisha muswaada wa Sheria ya Reli ya mwaka 2017 Bungeni mjini Dodoma leo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Anjela Kairuki akiteta jambo na Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye ulemavu Mhe. Jenista Mhagama mapema leo Bungeni mjini Dodoma.

Mbunge wa Jimbo la Nzega mjini mhe. Hussein Bashe akichangia hoja kuhusu muswaada wa Sheria ya Reli ya mwaka 2017 leo Bungeni.

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Tulia Ackson akisisitiza jambo leo Bungeni Mjini Dodoma. ( Picha zote na Frank Mvungi- Maelezo Dodoma )

96 thoughts on “Matukio Bungeni Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama