Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Maonesho ya Utalii Yazidi Kufana Dar

Baadhi ya wawakilishi wa Rwanda katika maonesho ya 3 ya Kimataifa ya Utaliii ya Swahili (SITE) leo jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wawakilishi wa Rwanda katika maonesho ya 3 ya Kimataifa ya Utaliii ya Swahili (SITE) leo jijini Dar es Salaam.

Muongozaji wa Watalii wa Kike Bi. Tumaini Paulo Soyala akimuelezea jambo mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Kampuni ya Trinity Adventure Safari leo jijini Dar es Salaam.

Mwakilishi kutoka Rwanda Bw. Riginal HAKIZIMANA (kulia) akimuelekeza ramani ya ameneo ya utalii mmoja wa wageni waliofika katika banda la Remakable Rwanda lilopo katika Viwanja vya Kituo cha Kimataifa cha Cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) leo jijini Dar es Salaam.

Mwakilishi wa Kampuni ya Utalii ya Trinity Adventure Safari ianyojishughulisha na utoaji wa Tuzo kwa waongoza Watalii Bi. Halle Majors akwelezea baadhi ya watu waliotembelea banda lao katika maonesho ya 3 ya Kimataifa ya Utaliii ya Swahili (SITE) leo jijini Dar es Salaam.lii

2 thoughts on “Maonesho ya Utalii Yazidi Kufana Dar

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama