Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Mama Mary Majaliwa Ashiriki Mahafali ya Shule ya Awali na Msingi ya Wonder Kids Mjini Ruangwa

Watoto wa Shule ya Msingi na Awali ya Wonder Kids wakiimba wimbo wa Shule yao katika Mahafali ya Kwanza ya Shule hiyo iliyopo Ruangwa Mjini

Wahitimu wa darasa la Awali wa Shule ya Wonder Kids wakiimba katika Mahafali ya Kwanza ya Shulel hiyo iliyopo Ruangwa Mjini

Wahitimu wa wa Shule ya Msingi na Awali ya Wonder Kids wakicheza ngoma ya asili katika Mahafali ya Kwanza ya Shulel hiyo iliyopo Ruangwa Mjini

Mgeni Rasmi katika Mahafali ya kwanza ya Shule ya Awali na Msingi ya Wonder Kids ya mjini Ruangwa , Bw. Craig Ferla ambaye pia ni Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Children in Crossfire akimkabidhi cheti kwa mhitimu wa Mafunzo ya Awali katika shule hiyo, Jasmine Madamba, Desemba 2, 2017.Wapili kuila ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa.

Baadhi ya wazazi na waalikwa wa Mahafali ya Kwanza ya Shule ya Awali na Msingi ya Wonder Kids ya Mjini Ruangwa wakimsikiliza Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa wakati alipozungumza katika Mahafali hayo Desemba 2, 2017.

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akizungumza katika mahafali ya kwanza ya Shule ya Awali na Msingi ya Wonder Kids ya Mini Ruangwa.

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akizungumza na watoto wakati alipotembelea bwalo la chakula la Shule ya Awali na Msingi ya Wonder Kids ya mjini Ruangwa katika mahafali ya shule hiyo

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akizungumza na watoto wakati alipotembelea Bwalo la chakula la Shule ya Awali na Msingi ya Wonder Kids ya mjini Ruangwa katika mahafali ya shule hiyo, Desemba 2, 2017.Kulia kwake ni binti yake, Zuleikha Kassim Majaliwa.

One thought on “Mama Mary Majaliwa Ashiriki Mahafali ya Shule ya Awali na Msingi ya Wonder Kids Mjini Ruangwa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama