Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Makamu wa Rais Arejea Nchini Akitokea Addis Ababa.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan(katikati) akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga(kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bw. Felix Lyaviva aliporejea akitokea jijini Addis Ababa,Ethiopia ambapo alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wa 29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan(katikati) akiongea na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga(kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bw. Felix Lyaviva aliporejea akitokea jijini Addis Ababa,Ethiopia ambapo alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano wa 29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU).

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama