Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Makamu wa Rais afungua kongamano la Wanawake

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye kongamano la wanawake la Women Advancing Africa (WAA) linaloendelea jijini Dar es Salaam lenye lengo la kutatua changamoto na kuendesha maendeleo ya kiuchumi Afrika.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye kongamano la wanawake la Women Advancing Africa (WAA) linaloendelea jijini Dar es Salaam lenye lengo la kutatua changamoto na kuendesha maendeleo ya kiuchumi Afrika. kulia ni Bi. Graca Michel, Mjane wa Rais wa Zamani wa Afrika Kusini, Hayati Nelson Mandela.

Makamu wa Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu na Mama Graca Machel wakiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa kongamano la wanawake la Women Advancing Africa (WAA) linaloendelea jijini Dar es Salaam lenye lengo la kutatua changamoto na kuendesha maendeleo ya kiuchumi Afrika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama