Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega

Wananchi wa Bukene wilayani Nzega wakimshangilia Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Taifa wa Bukene kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 17, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Bukene Selemani Zedi katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye Uwanja wa Taifa wa Bukene Agosti 17, 2018. Katikati ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tabora, Hassan Kasubi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Taifa wa Bukene wilayani Nzega, Agosti 17, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

215 thoughts on “Majaliwa Azungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nzega

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama