Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Azindua Wakala wa Barabara Vijijini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihutubia Viongozi wa Mikoa yote Nchini walio hudhuria Uzinduzi wa Wakala wa Barabara Vijini na Mijini leo july 2,2017, katika ukumbi wa mikutano Chuo cha Mipango Mkoani Dodoma.

Wakuu wa Mikoa na viongozi mbalimbali wakishuhudia Uzinduzi wa Wawakala wa Barabara Vijijni na Mijini

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua kitabu cha Muongozo wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini ,katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene ,kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala Barabara Vijini na Mijini Mhandisi Victor Seif .Uzinduzi huo umefanyika leo July 2, 2017 katika ukumbi wa mikutano Chuo cha Mipango Mkoani Dodoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi kitabu cha Muongozo wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini , Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala Barabara Vijini na Mijini Mhandisi Victor Seif, katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene . Uzinduzi huo umefanyika leo July 2, 2017 katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Mipango Mkoani Dodoma

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi kitabu cha Muongozo wa Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini , Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala Barabara Vijini na Mijini Mhandisi Victor Seif, katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene . Uzinduzi huo umefanyika leo July 2, 2017 katika ukumbi wa mikutano wa Chuo cha Mipango Mkoani Dodoma. (Picha na: OWM)

101 thoughts on “Majaliwa Azindua Wakala wa Barabara Vijijini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama