Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi Halmashauri ya Kakonko

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma, Februari 19, 2019. Kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa Joyce Ndalichako na wapili kushoto ni Mbunge wa Buyungu, Christopher Chiza.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo, Februari 19, 2019. Wapili kulia ni mkewe Mary.

75 thoughts on “Majaliwa Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi Halmashauri ya Kakonko

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama