Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Atembelea Viwanda Jijini Tanga

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Soni wilayani Lushoto akiwa katika ziara ya mkoa wa Tanga, Novemba 1, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu uzalishaji wa saruji kutoka kwa Bw. Pradeep Punlana (katikati) ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha saruji cha Rhino kilichopo eneo la Maweni jijini Tanga wakati alipotembelea kiwanda hicho Novemba 1, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama usindikaji wa maziwa wakati alipotembelea kwanda cha Maziwa cha Tanga Fresh cha jijini Tanga, Novemba 1, 2018. Kushoto ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, watatu kushoto ni Meneja Ufundi wa kiwanda hicho, Adam Gamba na wanne kukhoto ni Meneja Mkuu wa kiwanda, Michael Karata.

39 thoughts on “Majaliwa Atembelea Viwanda Jijini Tanga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama