Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Atembelea Bandari ya Mtwara Kukagua Kazi ya Usafirishaji Wa Korosho

 

 

 

Baadhi ya wafanyakazi wa Bandari ambao wanashiriki katika upakiaji wa shehena ya Korosho kwenye meli inayosafirisha wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofanya ukaguzi wa usafirishaji huo leo katika Bandari ya Mtwara.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Bw. Renatus Mkinga wakati alipotembelea bandari ya Mtwara kukagua kazi ya usafirishaji wa korosho, Oktoba 1, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa (kushoto) wakati alipokagua kazi ya kusafirisha korosho kwemye bandari ya Mtwara, Oktoba 1, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

76 thoughts on “Majaliwa Atembelea Bandari ya Mtwara Kukagua Kazi ya Usafirishaji Wa Korosho

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama