Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Ampokea Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Mostafa Madbouly

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkaribisha Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Mostafa Madbouly ambaye aliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Desemba 11, 2018 kwa ziara ya siku mbili nchini.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Mostafa Madbouly ambaye aliwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Desemba 11, 2018 kwa ziara ya siku mbili nchini.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Mostafa Madbouly kwenye hoteli ya Hyyat Regency jijini Dar es salaam, Desemba 12, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

105 thoughts on “Majaliwa Ampokea Waziri Mkuu wa Misri, Dkt. Mostafa Madbouly

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama