Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Akabidhiwa Taarifa ya Kamati ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma

Spika wa Buge Job Ndugai akizungumza baada ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma

Baadhi ya Wabunge walioshiriki katika hafla ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuichunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2017. Katikati ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe.

Baadhi ya Wabunge walioshiriki katika hafla ya kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuichunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Spika wa Buge, Job Ndugai baada ya kukabidhiwa na Spika Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuichunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma39 thoughts on “Majaliwa Akabidhiwa Taarifa ya Kamati ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama