Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majaliwa Ahutubia Mkutano wa Hadhara Mjini Tarime.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Borega wilayani Tarime wakati alipotembelea maabara ya shule hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Januari 18, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko katika mkutano wa hadhara aliouhutubia kwenye uwanja wa Serengeti mjini Tarime Januari 17, 2018.

Baadhi ya wananchi wa Tarime wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Serengeti mjini Tarime Januari 17, 2018.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 

31 thoughts on “Majaliwa Ahutubia Mkutano wa Hadhara Mjini Tarime.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama