Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Majadiliano ya Bajeti Wizara ya Maji Yaendelea

Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakichangia hoja wakati wa majadiliano kuhusu Hoja ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 katika kikao cha 20 Mkutano wa 15 leo Bungeni jijini Dodoma.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa, Bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa na Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso wakifuatilia michango ya Wabunge wakati wa majadidiliano kuhusu Hoja ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 katika kikao cha 20 Mkutano wa 15 leo Bungeni jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akiteta jambo na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Wenyeulemavu, Stella Ikupa wakati wa majadidiliano kuhusu Hoja ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 katika kikao cha 20 Mkutano wa 15 leo Bungeni jijini Dodoma.

Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuku cha Dodoma (UDOM), wakifuatilia shughuli za Bunge wakati wa majadidiliano kuhusu Hoja ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maji kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 katika kikao cha 20 Mkutano wa 15 leo Bungeni jijini Dodoma.

Waziri wa Maji, Profesa Makame Mbarawa akizungumza jamabo mbele ya Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso wakifuatilia michango ya Wabunge wakati wa majadidiliano kuhusu Hoja ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya hiyokwa Mwaka wa Fedha 2019/2020 katika kikao cha 20 Mkutano wa 15 leo Bungeni jijini Dodoma. (Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama