Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Magufuli Atia Saini Nyaraka za Msamaha wa Wafungwa 63

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini nyaraka zenye majina ya wafungwa 61 waliohukumiwa kunyongwa pamoja na majina mawili(2) ya familia ya Nguza Viking(Babu Seya), na Johnson Nguza waliopata msahama wa Rais, katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini nyaraka zenye majina ya wafungwa 61 waliohukumiwa kunyongwa pamoja na majina mawili ya familia ya Nguza Viking (Babu Seya), na Johnson Nguza waliopata msahama wa Rais, katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma. Kulia ni kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa akishuhudia.

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiyahakiki Kwa Kuyasoma Majina Ya Wafungwa 63 waliopata Msahama wa Rais kabla ya kutia saini nyaraka hizo za msamaha katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma. Kulia ni kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa akishuhudia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhakiki nyaraka hizo za msamaha wa Rais Katika Ikulu Ya Chamwino Mkoni Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini Dkt. Juma Malewa mara baada ya kutia saini majina ya wafungwa 61 waliohukumiwa kunyongwa pamoja na majina mawili ya wafungwa Nguza Viking(Babu Seya), na Johnson Nguza waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha jela.

Kamishna Jenerali Wa Magereza Dkt. Juma Malewa akizungumza kuhusu msamaha wa Rais na namna ulivyopokelewa vizuri ndani nje ya Magereza.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumzia msamaha alioutoa jana kwa wafungwa waliokuwa wanatumikia vifungo mbalimbali magerezani. Kushoto kwake ni Kamishna Jenerali wa Magereza Dkt. Juma Malewa akisikiliza. (Picha na Ikulu)

77 thoughts on “Magufuli Atia Saini Nyaraka za Msamaha wa Wafungwa 63

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama