Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Magazetini Leo Januari 26, 2018

Naibu Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Dkt. Qu Dongyu akichangia hoja wakati wa kikao cha majadiliano na ujumbe wa Serikali ya Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba (hayupo pichani) kuhusu ushirikiano katika sekta ya hiyo leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Balozi wa China hapa nchini Mhe. Mhe. Wang Ke na Mwakilishi wa Masuala ya Uchumi na Biashara wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China nchini Lin Zhiyong.

Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Charles Tizeba akichangia hoja wakati wa kikao cha majadiliano kuhusu ushirikiano katika sekta ya kilimo na ujumbe kutoka Serikali ya China ukiongozwa na Naibu Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Dkt. Qu Dongyu (hayupo pichani) leo Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Naibu Waziri wa Kilimo Dkt. Mary Mwanjelwa na Mchumi Mkuu wa Wizara ya Kilimo Bibi. Jacqeline Mboya

Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Charles Tizeba akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kikao baina yake na Naibu Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China Dkt. Qu Dongyu (kushoto) leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo wa Tanzania Dkt. Mary Mwanjelwa

99 thoughts on “Magazetini Leo Januari 26, 2018

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama