Na.Mwandishi Wetu
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Watu Wenye Ulemavu Mhe. Stella Ikupa ameeleza kuwa Serikali itaendelea kuimarisha kitengo kinachoshughulikia masuala ya watu wenye ulemavu ili kuendana na mahitaji halisi nchini.
Ameyasema hayo hii leo Aprili 09, 2019 alipokuwa akijibu hoja Bungeni Dodoma ikiwa ni moja ya hoja iliyotolewa kuhusu uboreshwaji wa kitengo hicho ili kuendelea kuongeza nguvu katika kushughulikia mahitaji ya kundi hilo.
Naibu Waziri alieleza kuwa Ofisi yake imejipanga kuhakikisha inaboresha kitengo hicho kwa kuendelea kuwajengea uwezo watumishi na kuongeza watumishi watakaohudumia makundi hayo.
“Serikali imeona ipo haja ya kuwajengea uwezo watumishi wa kitengo hiki wanaosimamia na kuratibu masuala ya watu wenye ulemavu ili kuongeza nguvu na kuboresha utendaji,”alisema Ikupa
Aliongezea kuwa, umuhimu wa kuongeza watumishi utasaidia kuendana na mahitaji halisi ya kundi hilo na kupunguza changamoto zilizopo kwa sasa.
Katika kuendelea kuboresha utekelezaji wa masuala hayo Ofisi ya Waziri Mkuu inaendelea kuandaa mazingira wezeshi ikiwemo kuanzishwa kwa Mfuko wa Taifa kwa Watu Wenye Ulemavu utakaosaidia kushughulikia masuala ya ruzuku za vyama vya watu wenye ulemavu, kuwezesha programu za elimu na mafunzo, kuwezesha huduma za utengamavu kwa watu wenye ulemavu pamoja na kutumika katika tafiti mbalimbali.
“Kwa mwaka wa Fedha 2019/2020 jumla ya shilingi Milioni 103 zimetengwa kwa ajili ya Mfuko huo ambazo zitakuwa ni mbegu kwa mfuko hivyo ni vyema sasa kukawa na wadau wataochangia kutunisha mfuko huu,”alisisitiza Ikupa
Aidha, Serikali imeendelea kutoa elimu kwa mamlaka mbalimbali kuhusu ujenzi wa miundombinu rafiki inayoendana na makundi ya watu wenye mahitaji maalum nchini ili kuondokana na changamoto za uwepo wa miundombinu isiyoendana na mahitaji halisi kwa kundi hilo.
”Suala la Miundombinu ni la kila mtu hivyo basi ni vyema tukahakikisha kunakuwa na ujenzi unaozingatia uhitaji wa wenye ulemavu ili kuepuka changamoto zinazoweza kujitokeza”, alisisitiza Ikupa
Pingback: cialis 20mg price
Pingback: Order viagra us
Pingback: Low cost viagra
Pingback: online pharmacy viagra
Pingback: viagra generic
Pingback: viagra 100mg
Pingback: cheap erectile dysfunction
Pingback: male erection pills
Pingback: online ed pills
Pingback: buy cialis generic
Pingback: walmart pharmacy
Pingback: canada pharmacy
Pingback: Buy cheap cialis
Pingback: cialis mastercard
Pingback: levitra canada
Pingback: levitra canada
Pingback: buy vardenafil
Pingback: play for real online casino games
Pingback: real money casino online
Pingback: canadian pharmacy viagra
Pingback: casino online games
Pingback: casino moons online casino
Pingback: loan online
Pingback: online payday loans
Pingback: viagra prescription
Pingback: best online casinos that payout
Pingback: best real money online casinos
Pingback: descargar jackpot city online casino
Pingback: diana
Pingback: LuckyCreek
Pingback: cialis 20
Pingback: generic cialis
Pingback: best online casino usa
Pingback: best real casino online
Pingback: online pharmacy viagra
Pingback: purchase viagra
Pingback: cheap tadalafil
mastoid a congenital marry looking for up to 2 cerises generic cialis tadalafil warren prefix can clandestine all the up to of.
when is the best time to take cialis order cialis generic 5 mg cialis coupon printable
is viagra over the counter buy viagra generic viagra without a doctor prescription usa
viagra doses 200 mg buy ed pills online buy real viagra online
what is the best ed drug canadian rx pharmacy over the counter ed drugs
viagra without a doctor prescription tadalafil without a doctor’s prescription viagra without a doctor prescription
best drugstore shampoo erectile dysfunction drug canadian pharmacy
dysfunction cvs drugstore california pharmacy
erectile http://pharmacy-onlineasxs.com/ drug store
viagra vs cialis vs levitra cialis dosage 40 mg dangerous
liquid cialis
cheap viagra online canadian pharmacy rx price comparison online pharmacy no prescription
online pharmacy usa legit online pharmacy canadian viagra generic pharmacy