Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Kikao cha Wadau wa Sekta ya Madini kwa Ajili ya Kujadili Rasimu ya Mwongozo wa Ufungaji Migodi Chafanyika Jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Madini Mhe.Stanslaus Nyongo akifungua kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi leo Jijini Dodoma.Kushoto kwake ni Katibu Mtendaji Tume ya Madini Prof Shukrani Manya na Kulia kwake ni Mkurugenzi Ukaguzi wa Madini na Biashara ya Madini Venance Mwase na Mkurugenzi wa Ukaguzi migodi na Mazingira Dkt.Abdurahman Mwanga.

Waziri wa Madini Mhe.Stanslaus Nyongo akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi leo Jijini Dodoma.

Katibu Mtendaji Tume ya Madini Prof Shukrani Manya akizungumza na wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi leo Jijini Dodoma.

Washiriki wa kikao cha wadau wa sekta ya madini kwa ajili ya kujadili rasimu ya mwongozo wa ufungaji Migodi wakifuatilia majadiliano mbalimbali leo Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Ukaguzi migodi na Mazingira Dkt.Abdurahman Mwanga akiwasilisha muhtasari wa rasimu ya mwongozo wa ufungaji migodi leo Jijini Dodoma.

32 thoughts on “Kikao cha Wadau wa Sekta ya Madini kwa Ajili ya Kujadili Rasimu ya Mwongozo wa Ufungaji Migodi Chafanyika Jijini Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama