Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Apokea kwa Niaba ya Rais Kanuni za Sheria ya Madini Namba 7 ya Mwaka 2017

Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akimpa muhtasari Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi kabla ya kumkabidhi vitabu vya Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 ambaye anapokea kwa niaba ya Rais Dkt John Pombe Magufuli aliyeagiza kuandaliwa kwa kanuni hizo ndani haraka ili sheria iweze kufanya kazi. Hafla hiyo ndogo, iliyohudhuriwa pia na Manaibu Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko na pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila, imefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam

: Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi baada ya ya kumkabidhi vitabu vya Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 ambaye anapokea kwa niaba ya Rais Dkt John Pombe Magufuli aliyeagiza kuandaliwa kwa kanuni hizo ndani haraka ili sheria iweze kufanya kazi. Hafla hiyo ndogo, iliyohudhuriwa pia na Manaibu Waziri wa Madini Mhe. stanslaus Nyongo na Mhe. Doto Biteko na pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila, imefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo

Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akimkabidhi Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi vitabu vya Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 ambaye anapokea kwa niaba ya Rais Dkt John Pombe Magufuli aliyeagiza kuandaliwa kwa kanuni hizo ndani haraka ili sheria iweze kufanya kazi. Hafla hiyo ndogo, iliyohudhuriwa pia na Manaibu Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko na pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila, imefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Kitabu cha Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017

Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Manaibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo na Mhe. Doto Biteko, pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila, wakiwa na vitabu vya Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 baada ya Balozi Kijazi kuvipokea kwa niaba ya Rais Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi akimkabidhi Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango kitabu cha Kanuni za sheria ya Madini namba 7 ya mwaka 2017 baada ya Balozi Kijazi kuvipokea kwa niaba ya Rais Ikulu jijini Dar es Salaam leo Alhamisi 11, 2018. Wengine ni Manaibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo na Mhe. Doto Biteko, pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Profesa Simon Msanjila. (Picha na Ikulu)

 

369 thoughts on “Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Apokea kwa Niaba ya Rais Kanuni za Sheria ya Madini Namba 7 ya Mwaka 2017

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama