
Katibu Mkuu wa jumuiya ya Madola Bi. Patricia Scotland akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb), katika ofisi za Sekretarieti za jumuiya hiyo zilizopo London,Uingereza leo Julai 9, 2019.
Jumuiya ya Madola imeonesha kuridhishwa na namna Tanzania inavyotekeleza mageuzi ya kiuchumi, uwajibikaji na utawala bora kwa wananchi wake jambo ambalo jumuiya hiyo inalihimiza na kulisimamia kwa nchi wanachama wake.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi Patricia Scotland wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi katika ofisi za sekretarieti ya jumuiya hiyo zilizopo London Nchini Uingereza.
Katika mazungumzo hayo Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Bi Patricia Scotland ameeleza kuridhishwa na maelezo yaliyotolewa na Profesa Kabudi kuhusu utekelezaji wa masuala ya demokrasia,utawala bora na utawala wa sheria pamoja na Haki za binadamu nchini Tanzania na kwamba Jumuiya hiyo inatambua juhudi hizo na inaunga mkono hatua hiyo.

. Katibu Mkuu wa jumuiya ya Madola Bi. Patricia Scotland akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) katika ofisi za Sekretarieti za jumuiya hiyo zilizopo London,Uingereza.
Katibu Mkuu huyo ameongeza kuwa mbali na kuhimiza utekelezaji wa utawala bora, haki za binadamu na utawala wa sheria pia Jumuiya ya Madola imelenga kukuza na kuwezesha biashara miongoni mwa nchi wanachama ikiwa ni pamoja na fursa zilizopo kupitia shirika la biashara la kimataifa (WTO) na mashirikiano ya biashara ya kikanda.
Amesema ni jukumu la nchi za Jumuiya ya Madola kuhakikisha uwepo wa amani na utulivu katika jumuiya hiyo ili kuiwezesha kupiga hatua za haraka za kimaendeleo na kuifanya Jumuiya nzima kuendelea bila ya kuacha nchi nyingine nyuma kutokana na uwepo wa migogoro ama machafuko ya wenyewe kwa wenyewe miongoni mwa wanachama wa Jumuiya. Katika hili ameisifia Tanzania kwa kuwa na Amani na utulivu muda wote na pia kushiriki katika juhudi za kutatua migogoro kwa nchi zingine wanachama na wasio wanachama wa Jumuiya.
Kuhusu suala la mabadiliko ya tabia nchi,Katibu Mkuu huyo wa jumuia ya madola amesisitiza umuhimu wa ushirikiano miongoni mwa nchi wanachama wa Jumuiya hiyo ili kukabiliana na athari zitokanazo na mabadiliko ya tabia nchi. Ameeleza kuwa Jumuiya hiyo itaendelea kushirikiana na Tanzania katika program mbalimbali zinazolenga kukabiliana na madhara ya mabadiliko ya tabia nchi na masuala ya mazingira kwa ujumla.
Kwa upande wake Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. palamagamba John Kabudi amemhakikishia Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola kuwa Tanzania inaipa umuhimu mkubwa jumuiya hiyo na itaendelea kushirikiana nayo katika masuala ya ukuzaji wa uchumi, utawala bora hususani wakati huu ambapo Tanzania inafanya mageuzi ya kiuchumi katika kuelekea kuwa nchi ya uchumi wa kati.
Ameipongeza jumuiya ya madola kwa mpango maalum inayoandaa kwa ajili ya kukuza na kuongeza biashara baina ya Tanzania na nchi nyingine wanachama wa jumuiya hiyo kwa ujumla jambo ambalo litafungua fursa biashara na masoko kwa bidhaa na mazao ya Tanzania. Amemuahidi Katibu Mkuu huyo kuwa Tanzania itashiriki ipasavyo katika mpango huo.
Katika mazungumzo hayo, Waziri Kabudi pia amekubaliana na Bi Scotland kuangalia namna ya kuwasaidia vijana kuongeza ubunifu ili waweze kujiajiri na kuimarisha uchumi ili kukabiliana na tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana huku akimpongeza Katibu Mkuu huyo kwa mageuzi makubwa anayoyafanya ndani ya jumuiya hiyo ili iweze kuwahudumia wanachama wake kwa ufanisi zaidi.
Profesa Palamagamba John Kabudi yuko London Nchini Uingereza kwa ziara ya siku nne kuhudhuria mkutano wa Mawaziri wa mambo ya Nje wa Jumuiya ya madola pamoja na mkutano wa Kimataifa kuhusu uhuru wa vyombo vya habari.

Katibu Mkuu wa jumuiya ya Madola Bi. Patricia Scotland akimsindikiza mgeni wake ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) alipomtembelea katika ofisi za Sekretarieti za jumuiya hiyo zilizopo London,Uingereza.
Pingback: Us viagra sales
Pingback: price of cialis
Pingback: cialis dosage 40 mg
Pingback: Pfizer viagra
Pingback: Buy no rx viagra
Pingback: cheap cialis
Pingback: where to buy cialis
Pingback: viagra 50mg
Pingback: best over the counter ed pills
Pingback: mens erection pills
Pingback: ed pills
Pingback: buy levitra
canadian viagra cialis cialis prices
tadalafilprof.com – show cialis working
cialis daily is generic cialis safe
tadalafilprof.com – generic cialis coming out
Pingback: online casino real money usa
Pingback: cheapest viagra
Pingback: play online casino real money
Pingback: online casino real money usa
buy viagra buy viagra
sildenafilst.org – viagra without a doctor prescription
Pingback: quick cash loans
Pingback: online loans
Pingback: viagra prescription
Pingback: wind creek casino online play
Pingback: cialis generic
https://viagrawithoutdoctorspres.com/ – viagra price
Pingback: best online casino us players
Pingback: play online casino real money
Pingback: cialis 20
http://propeciafavdr.com/ – buy propecia
http://paxil100.com/ – paxil hair loss
Pingback: cialis 20
cbd oil benefits for pain cbd oil for sale at walgreens
cbd hemp oil for pain relief cbd cream
plus cbd oil: cbd oil cannabidiol for pain
Pingback: gambling casino
levitra generic: buy levitra online – levitra prescription
levph24.com generic levitra vardenafil
cheap viagra online canadian pharmacy: cheap pills online
Pingback: viagra online prescription free
Pingback: buy generic viagra
legal to buy prescription drugs without prescription: errectile disfunction
Pingback: purchasing cialis online
http://vgrmall.com/ – buy viagra online cheap
http://gabapentintop.com/ – how to get neurontin
http://gabapentintop.com/ – neurontin 800 mg cost
https://sildenafil100mega.com/ viagra online canada
https://plaquenil400.com/ plaquenil online
https://cialisfavdrug.com/# – hard erections cialis
https://cialisfavdrug.com/# – current cost of cialis 5mg cvs
viagra without a prescription: viagra cialis
100mg viagra viagra without a doctor prescription – roman viagra
cheapest generic viagra viagra from india – viagra canada
how much viagra should i take the first time? – generic viagra how to buy viagra
viagra cheap – cheap sildenafil otc viagra
zithromax 500 without prescription: zithromax 1000 mg online zithromax 500 mg for sale
ed drug prices: generic erectyle dysfunction
how long does 20mg cialis keep in system http://tadmedz.com – cialis headaches afterwards
erection pills https://viaworldph.com/ – viagra
natural remedies for ed https://viaworldph.com/ – viagra pill
can ed be cured
https://canadianpharmacystorm.com
male enhancement
cialis money order order cialis generic price of cialis
viagra online canada viagra without a doctor prescription viagra without a doctor prescription canada
viagra without a doctor prescription pet meds without vet prescription canada tadalafil without a doctor’s prescription
thrifty drug store the pharmacy best drugstore face wash
pharmacy orlando best drugstore mascara drug rx
canada drugs online pharmacy online drugstore ed meds online
uk pharmacy canadian pharmacies online online pharmacy viagra
best drugstore setting spray impotence global pharmacy canada
I wanted to thank you for this fantastic read!! I definitely enjoyed every little bit of it. I’ve got you bookmarked to check out new stuff you post…
That is a really good tip especially to those fresh to the blogosphere. Simple but very accurate info… Thank you for sharing this one. A must read article!
Good article. I definitely love this website. Keep writing!
stockists of cialis cialis 20mg safest and most reliable pharmacy to buy cialis
buy prescription drugs online cialis super active canada meds
flawless article, i like it