Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Kampuni ya Specious Afrika Yazindua Lebo Mpya

Meneja wa Kampuni ya Specious Afrika, Hennesseyy Mdendwa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa lebo mpya iliyo chini ya kampuni hiyo, kulia ni msanii aliyechini ya lebo hiyo Eliud Modest na kushoto ni msanii aliyechini ya lebo hiyo Akil Mohamed.

Msanii Akil Mohamed (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu yeye kuwa chini ya lebo ya Specious Music mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni msanii mwenzake Eliud Modest.

Msanii Eliud Modest (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu yeye kuwa chini ya lebo ya Specious Music mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni msanii mwenzake Akili Mohamed. Picha na Eliphace Marwa.

1,287 thoughts on “Kampuni ya Specious Afrika Yazindua Lebo Mpya