[caption id="attachment_16173" align="alignnone" width="750"] Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina (katikati) akisukuma toroli baada ya kumaliza zoezi la usafi wa mazingira wilayani Mvomero, kushoto ni Mkuu wa Wilaya hiyo Bw. Mohammed Mussa Utali.[/caption]
[caption id="attachment_16177" align="alignnone" width="750"] Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina akiangalia chanzo cha maji katika milima ya Urugulu, Mjini Morogoro, akiwa katika ziara ya mkikazi Mkoani Moro...
Read More