[caption id="attachment_22319" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Issack Aloyce Kamwele akiwasili katika viunga Mako Makuu ya Shirika la Maji Safi na Maji taka Dar es Salaam (Dawasco)kwa ajili ya hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Tano ya Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Everist Ndikilo, Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya Dawasco Prof. Tolly Mbwete na Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco Mhandisi Cyprian Luhemeja.[/caption]
[caption id="atta...
Read More