[caption id="attachment_34233" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi wakati alipowasili kwenye eneo la uzinduzi wa Ofisi ya Mwanansheria Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Taifa ya Mashtaka na Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali Jijini Dodoma, Agosti 15, 2018.[/caption]
[caption id="attachment_34234" align="aligncenter" width="750"] Baadhi ya washiriki wa tukio la uzinduzi wa Ofisi ya Mwanansheria Mkuu wa Serikali, Ofisi ya Taifa ya Mashtaka na Ofisi ya Wakili...
Read More