Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Tido Mhando, vinavyojumuisha: Sera ya Habari na Utangazaji ya Mwaka 2003; Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229 pamoja na Kanuni za Sheria ya Huduma za Habari za Mwaka 2017. Uzinduzi huo umefanyika leo Machi 3, 2025 jijini Dar es Salaam
Read More