[caption id="attachment_45381" align="aligncenter" width="960"] Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu(kutoka kulia)akipokea barafu(ice cream) na soda baridi kutoka kwa mama mjasiriamali (kushoto) anayefanya biashara hiyo baada ya kufungiwa umeme wa REA katika kijiji cha Simbo wilayani Uyui, mkoani Tabora.[/caption]
Na: Zuena Msuya, Tabora,
Naibu wa Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewataka wakandarasi ambao wanadhani hawatakamilisha ama kuchelewesha kazi ya usambazaji wa umeme vijijini kutokana na changamoto mbalimbali , ni vyema kazi hizo...
Read More