[caption id="attachment_49893" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (katikati) akiwa kwenye kikao na Bodi/Menejimenti ya TANESCO kilichofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu na kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO, Dkt. Alexander Kyaruzi.[/caption]
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameiagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhakikisha kuwa wanafanya tafiti kubaini vyanzo vipya vya uzalishaji umeme ili ku...
Read More