Waziri wa Nishati, Mhe. January Yusuph Makamba akifanya mazungumzo na Balozi wa India nchini Tanzania, Mhe. Binaya S. Pradhan (katikati) baada ya kukutana Jumatano, Januari 5, 2022 katika ofisi za Wizara jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Balozi, Raj K. Ganger.
Na Janeth Mesomapya
Waziri wa Nishati, Mhe. January Yusuph Makamba ametoa wito kwa Serikali ya India na wawekezaji wa nchini humo kutembelea nchini Tanzania ili kutazama fursa zinazopatikana kwenye maeneo mbalimbali ya sekta ya nishati ikiwa ni pamoja na zile za kitalu cha...
Read More