Na Benny Mwaipaja, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameushukuru Mfuko wa nchi zinazozozalisha Mafuta kwa wingi Duniani (OPEC FUND) kwa kuwekeza hapa nchini zaidi ya Dola za Marekani milioni 218 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 504, kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo.
Dkt. Nchemba, alitoa shukrani hizo Jijini Dodoma, alipokutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Shirika hilo ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wake, Dkt. Alkhalifa Abdulhamid Saleh ambapo walijadili masuala mbalimbali ya ushirikia...
Read More