Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba (kushoto) akiwaonyesha kitu ujumbe wa Uganda uliofika nchini kwa ziara ya kujifunza kuhusu sekta ya mafuta hasa usafirishaji wa mafuta ghafi katika bomba la TAZAMA. Julai 20, 2022. Katikati ni Waziri wa Nchi anayeshughulikia maendeleo ya Madini, Wizara ya Nishati na Maendeleo ya Madini Uganda, Mhandisi Peter Lokeris, Kamishna Msaidizi wa Mafuta na Gesi Wizara ya Nishati, Michael Mjinja (tatu kulia).
Na Zuena Msuya, DSM
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imepokea ujumbe kutoka nchin...
Read More