Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Mhe. Dkt. Christine Ishengoma akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya Kamati hiyo kufanya ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa maji uliopo Kata ya Nzuguni, jijini Dodoma jana Septemba 22, 2022.
Na Jacquiline Mrisho - MAELEZO.
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji imeisisitiza Wizara ya Maji na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kumaliza kwa wakati au kabla ya wakati mradi wa maji unaotekelezwa katika Kata ya Nzuguni iliyoyo...
Read More