Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula akizungumza na Makamishna wa Ardhi Wasaidizi wa Mikoa 26 wakati akifungua kikao kazi cha makamishna hao kilichofanyika jijini Dar Es Salaam tarehe Septemba 6, 2022.
Na Munir Shemweta, WANMM
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula amewataka Makamishna wa Ardhi Wasaidizi wa mikoa nane nchini kujitathimi kutokana na kushindwa kutoa taarifa ya uhakiki wa mashamba katika muda uliopangwa.
Waziri wa Ardhi aliagiza ufanyike uhakiki wa mashamba na...
Read More