Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Chen Mingjian mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Chen Mingjian mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya kitabu kutoka Balozi...
Read More