Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza na Wakaguzi wa Ndani 140 kutoka halmashauri 69 nchini (hawapo pichani), wanaoshiriki mafunzo ya siku tatu ya namna ya kukagua kwa ufanisi taarifa za fedha, yaliyoandaliwa na Ofisi ya Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali katika Kituo cha Mikutano cha NBAA, Bunju, Dar es Salaam.
Na Josephine Majula na Scola Malinga WFM - DSM
Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewataka Wakaguzi wa Ndani kufanya kazi zao bila kupepesa macho kwa kufich...
Read More