[caption id="attachment_3967" align="aligncenter" width="1000"] Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bw. Hiiti Sillo akizungumza wakati wa kikao cha pamoja kati ya TFDA, Shirika la Viwango Tanzania (TBS), SIDO, na TANTRADE kilichofanyika hivi karibuni kikilenga kuweka mikakati ya pamoja itakayosaidia kutatua changamoto zinazowakabili wajasiriamali hapa nchini. (Picha na: TFDA)[/caption]
Na. Frank Mvungi.
Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeandaa mkakati wa kuwasaidia wajasiriamali nchini kukabiriana na changamoto zin...
Read More