[caption id="attachment_5530" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb)[/caption]
Na: Benny Mwaipaja, WFM-Dodoma
Serikali imeeleza kuwa inajitahidi kuboresha miundombinu kama vile teknolojia ya Mawasiliano, Barabara, Ulinzi, Maji na Umeme katika maeneo ya vijijini ili kuweka mazingira bora yatakayovutia wawekezaji kutoka sekta binafsi kuwekeza katika sekta ya fedha ili kupanua huduma hiyo katika maeneo ya mijini na vijijini.
Hayo yameelezwa Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na...
Read More