Na: Mwandishi Wetu
Makundi mawili kila moja likiwa na wastani wa wakimbizi 350 raia wa Burundi kati ya wakimbizi 13,000 ambao hadi tarehe 07 Septemba, 2017 walikuwa wamejiorodhesha kwa hiari kurejea nyumbani yanatarajiwa kuondoka nchini wiki hii.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Wakimbizi, katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Deusdedit Masusu, misafara saba yenye wastani wa wakimbizi 350 inatarajiwa kuondoka nchini kurejea Burundi katika mwezi huu wa Septemba, 2017 miwili kati ya hiyo ikiondoka siku ya Jumanne tarehe 12 na Alham...
Read More