Na Mwandishi Wetu,
Wakala wa Huduma ya Ununuzi Tanzania (GPSA) katika mwaka 2019/2020 imewatangaza wazabuni 3032 walioshinda zabuni kwa ajili kutoa na kusambaza huduma mbalimbali za manunuzi katika Ofisi i za Serikali ikiwemo Wizara, Idara, Wakala na Taasisi mbalimbali za umma katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Akizungumza katika leo Alhamisi (Julai 4, 2019) katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam yanayoendelea katika viwanja vya Julius Nyerere, Meneja wa GPSA Kanda ya Dar es Salaam, Emmanuel Msongole alisema zabuni hiyo ilia...
Read More