[caption id="attachment_48359" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.John Pombe Magufuli, akihutubia wananchi mara baada ya kupokea Ndege mpya Aina ya Dreamliner 787-8, yenye uwezo wa kubeba Abiria 262, hafla hiyo ilifanyika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Kulia ni Spika wa Bunge Job Ndugai, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof.Palamagamba Kabudi na Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt.Inmi Patterson..[/caption]
[caption id="attachment_48358"...
Read More