Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akitoa maelekezo ya uhifadhi wa Mazingira katika Bonde la Mzakwe na maeneo mengine kwa viongozi wa Mkoa wa Dodoma mara baada ya kukagua miti iliyopandwa katika bonde hilo, Januari 5, 2022.
Januari 5, 2022, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametembelea na kukagua zoezi la upandaji miti na uhifadhi wa Bonde la Mzakwe lililopo mkoani Dodoma.
Akikagua uhifadhi wa bonde hilo ambalo pia ni chanzo cha maji , Makamu wa Rais ameoneshwa kutori...
Read More