Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi, Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Pindi Chana na Mkuu wa Mkoa Iringa, Peter Serukamba wakishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Iringa - Msembe (km 104) kwa kiwango cha lami kati ya Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara TANROADS, Mhandisi Mohamed Besta na Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya CHICO, Li Jianzheng, Septemba 21, 2024 Mkoani Iringa.
Read More