Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Amref Health Africa, Dkt. Githinji Gitahi jijini New York, Marekani Septemba 29, 2024. Mazungumzo hayo yalihudhuriwa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel (wa tatu kulia), Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu (wa pili kulia) na Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Tumaini Nagu.
Read More